W William willy Member Joined Aug 6, 2017 Posts 7 Reaction score 1 Aug 28, 2017 #1 habari zenu jamani kwa anaeijua lupa secondary vizuri anijuze Sent using Jamii Forums mobile app
mwambega geofrey Member Joined May 20, 2017 Posts 24 Reaction score 15 Aug 28, 2017 #2 Nipo apa Sent using Jamii Forums mobile app
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,860 Aug 28, 2017 #3 William willy said: habari zenu jamani kwa anaeijua lupa secondary vizuri anijuze Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shule IPO wilayan chunya....kama unatoka mbeya mjini unapanda mabasi yanayoenda lupa au mabasi yanayoishia isangawana au mabasi ya tabora au singida ynayopita njia ya chunya
William willy said: habari zenu jamani kwa anaeijua lupa secondary vizuri anijuze Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shule IPO wilayan chunya....kama unatoka mbeya mjini unapanda mabasi yanayoenda lupa au mabasi yanayoishia isangawana au mabasi ya tabora au singida ynayopita njia ya chunya