Jamani wadada muwe na huruma

Mada nyingine bwana.......

Mleta mada angekuwa na huruma angemsaidia huyo jirani yake....... Hata hivyo, tunatakiwa kujifunza kushangaa mambo ya wengine lakini tuwe na kifua cha kuwaachia waendelee wapendavvyo!
 
Namba zake sina wala sizitaki na za kwangu hana, maana ni shida alijaribu kumuomba wife namba zangu alikataliwa. Alijua mara naweza kula kiboga kwenye uvungu.

Teeeeh....! Usinifanyie hivyo tafwadhali😉😉
 
Wanawake wanajifanya kutetea ila ukweli utabaki kuwa pale pale.
 
MMU raha sana, utamjua mtu na tabia yake dhahiri kwa kuangalia tu comment zake, cheki wanawake humu wanacho comment utajua ndivyo walivyo.
Na hata wanaume pia ukiona anayefurahia aina ya life hilo ujue yeye naye ni wa type hiyohiyo.
Huwezi kufagilia kwa vyovyote vile aina hiyo ya maisha ya wawili hayo hata kama wanapendana.
 
Hayo ni mapenz yao cyo kila kitu kurogwa km kampa likizo kutokana na penz lake je
 

Hebu tuwekee na yakwako hadharani(kuna usemi unasema,kama kutangaza aibu za wenzio ni rahaa,tangaza yako.
 
Hayo ni mapenz yao cyo kila kitu kurogwa km kampa likizo kutokana na penz lake je

Hakuna cha likizo hapo ni utumwa mimi mke wangu hajawahi na hatowahi, tatizo lenu mnapima akili za mwanaume limbukeni akiwa hola unaangushia hapo hapo. Kuna siku mke wangu atamani kunijaribu lakini namtolea mimacho huyo anatoka nduki kwenda kufanya kazi zake za ndani. Kwamfano wife akinambia kesho naomba unifanyie kitu fulani na mimi namwambia ikifika alfajiri nakuamsha ujiandae kwenda kazini mimi nibaki nafanya hiyo kazi. Basi anakua na adabu sio misichana ya sasa iliyokua haikufunzwa majumbani kwao yanakaa na mishoga kazi zao kufundishwa kumchuna mwanaume anapokua nae.
 
Kwani huyo me hana ndugu wa kumwambia?

Kabla hawajapanga walikua na nyumba yao, walikua wanaishi na familia ya mume, kwabahati nzuri mama mtu alikua hapendi tabia anazofanyiwa mwanae, ikabidi amwambie hata kama mke alikua hapendi. Na ndo maana mke huyo huyo akamburuza mume wake wakapange nyumba nyingine ambayo ndo hiyo niliyo mimi.
Kwakweli mwanamke hajatulia, na kipindi anakuja kuhamia, nikamuona style zake nikajaribu kumwambia wife kwamba huyu mdada anaonekana hajatulia, ila ngoja tuendelee kuishi nae tutapata majibu zaidi.
 
mkuu tatizo wanaume wengi tunakurupuka kwenye suala la ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…