Jamani vidole hivyo!!!!

Lakini kama nitapata nauli nitakuja kukuona....mjomba
 
Wakazi wa Kigamboni, vidole hivyo mmeviona?
 
alikuwa anaonyesha msisitizo mkuu...kama huna mia bee hakuna kupanda kivuko piga mbizi.:smash:
 
alikuwa anaonyesha msisitizo mkuu...kama huna mia bee hakuna kupanda kivuko piga mbizi.:smash:

Khaaa yaani msisitizo kama tangazo la tigo!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…