MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,092 Jun 7, 2011 Thread starter #2
Tajy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 298 Reaction score 24 Jun 7, 2011 #3 Kulikon hvi tena,au mrembo kakamatwa kwa uwizi wa waume za watu!duh pole mrembo
Xkalinga JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 475 Reaction score 317 Jun 7, 2011 #4 Dah,haya mambo ni mabaya sana.Tatizo hapo akili huwa haipo.baada ya hapo ndio wanaanza kujuta baada ya kuumizana au kupelekana kwa pilato.Tujaribu kuzizuia hasira zetu kuepusha mambo kama haya.
Dah,haya mambo ni mabaya sana.Tatizo hapo akili huwa haipo.baada ya hapo ndio wanaanza kujuta baada ya kuumizana au kupelekana kwa pilato.Tujaribu kuzizuia hasira zetu kuepusha mambo kama haya.