Eiyer njoo umsaidie huyu kijana.
Sifa moja kubwa ya MWANAUME ni kuwa na moyo na mtazamo wa kiume
Huyu kijana ana matatizo ya kufikiri kike
Wanawake ndio wanaozira na kulialia na sio wanaume
Kijana hebu acha mawazo ya kike hayo
Wanawake wameumbwa wakiwa na matatizo tangu tumboni unadhani utampata ambae sio kichaa?
Hata Mungu anawajua hawa...lol!!
Hapan chezea kuachwa kabisa.kuachwa kuachwa ni shughuli,
mwenzako ananenepa wewe unakonda kwa mawazo kwa mawazoooo.
He he nimeukumbuka huu wimbo wa charlz baba,josee mara khalid chokoraa na kalala junior afu video king ni twalib.
Aaaaa wana mmu embu mnisaidie kuniwekea video ya huu wimbo umshindikize ndugu diwan
Halafu baba Paroko!!!Sifa moja kubwa ya MWANAUME ni kuwa na moyo na mtazamo wa kiume
Huyu kijana ana matatizo ya kufikiri kike
Wanawake ndio wanaozira na kulialia na sio wanaume
Kijana hebu acha mawazo ya kike hayo
Wanawake wameumbwa wakiwa na matatizo tangu tumboni unadhani utampata ambae sio kichaa?
Hata Mungu anawajua hawa...lol!!
Jaman usichezee kuachwa ckia kwa mwenzako..kaka akunyimae mbaazi kakupunguzia shuz babu eee achana naye!Kuwait mwaminifu kwa mungu utapata wako huyo hakuwa wako.kuwa mvumilivu pia ili upate the right person uckurupuke rafiki hii tasmia ya ndoa ni taaamu sn ukimpata wa ukweli wamawake wengi these days tumedata mbaya mzee.pole sn
Hahahaha Ennie am not scared of that. Ndio changamoto zenyewe na Maisha lazima yasonge dadangu.
Kuna watu mnafahamiana humu. Kuwa ulisoma UDOM, upo Kigoma na kuwa hukuwa na msimamo. Unawajua hawa?Nimewapata wadau. Nashukuru kwa ushauri,na mitazamo tofauti ninayopata toka kwenu.
[/B]
Now you are talking.
Utaacha na kuachwa sana tu mpaka umpate wa kusonga nae.
Good Luck.
Halafu baba Paroko!!!
We endelea tu
Kuna nini?