Jamani, tushauriane ajira hazipatikani

Jamani, tushauriane ajira hazipatikani

babras

Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Jaman tushauriane. Graduates kila mwaka wanamwagika, na ajira hazipatikani.

Watu wanadhani nchi hii ilikuwa hivi tangu zamani. Miaka ya 80 tulipo hitimu A Level na Chuo kazi zilikuwapo si kwa wahitimu wa vyuo tu bali hata kwa wahitimu wa secondari na mwajiri alikuwa serikali na mashirika ya umma.

Sasa hivi kuna waajiri wengi zaidi ya miaka ya 80 lakini ajira ni chache zaidi. Tukubali kwanza kwamba ajira ni chache na pili tujiulize kwa nini.
Kumshauri mtu atoe rushwa ili apate kazi ni ajabu mkubwa.

Mwajiri anaye hitaji mtu wa kumfanyia kazi yenye kuingiza TSHS 200M kwa malipi ya Tshs 90M hahitaji rushwa ya namna yeyote.Anachohitaji ni mtu mwenye ujuzi anao utaka.

Kwa maoni yangu; Tatizo la ajira linatokana na tofauti kubwa kati ya Kile mwajiri anachohitaji na Aina ya Elimu inayo tolewa na vyuo. Mitaala yetu ya elimu ni ile ile ya zamani wakati Typewriter zilipokuwa zinatamba maofisini.

Klamu za Epica zilipokuwa kitendea kazi kikubwa. Leo hii naamini kila msomi anahitaji kujua kwa undani Microsoft Word Excel Powerpoint na programme nyingine kwani vitu hivi sasa hivi ni sawa na Epica na Typewriter za enzi zile.

Mentally Elimu yetu inalenga kuwajenga wahitimu kuajiriwa. Ni wakati sasa wa Vyuo vyote kutengeneza mazingira ya elimu yatakayo mfanya mhitimu ajae mawazo ya kujiajiri.

Tuna matatizo mengi sana nchini Tanzania yanayohitaji kutatuliwa na Watanzania wenyewe. Matatizo haya kamwe hayawezi kutatuliwa na WAKUJA.

Juzi hapa nilikuwa naongea na Rafiki yangu kutoka Gambia akaniambia kwamba nchini Gambia Maganda ya Karanga yanatumika kutengenezea Mkaa tena mkaa mzuri sana na ni Biashara ya Mabilioni.

Sisi huwa tunachoma mikaa ya Mikorosho ambayo kwa ubora ni nyanya kabisa na hakuna anayependa kutumia mkaa wa myi wa korosho.

Endapo wenzetu wanatumia maganda ya karanga kutengenezea mikaa yenye ubora wa kimataifa kwa nini sisi tunashindwa kufanya utafiti YAKINIFU wa kutengeneza mkaa bora kwa kutumia miti ya mbaazi, mikorosho au aina nyingine ya miti inayiokua upesi na ambayo ni migumu mara 4 au tano ukilinganisha na maganda ya karanga?

Kwa nini hatufanyi utafiti wa kutumia vipande vya mbao matawi ya miti marandio ya mbao nk kutengeneza mkaa wenye hadhi na ubora wa kimataifa???

Tunahitaji ku introduce somo jipya katika Level ya Vyuo lenye lengo la kuwafunua macho na bongo vijana wetu ili waukwae uwezo wa kuona mianya yenye kuleta tija iliyo kila kona ya nchi yetu.

Wasomi inabidi kuanzisha tafiti zenye lengo la ku refine products zetu za ndani ili ziweze kupambana na zile za nje huku zikituletea kipato.

Kuna kufyatua tofari za sementi kwa kutumia udongo wa kawaida kabisa. UTAFITI unahitajika. Ku refine namna ya kutengeneza Meza coffee Table zenye ubora wa juu kabisa kwa kutumia mbao laini Utafiti ni Muhimu.

Kuchonga mawe ya kawaida kabisa kwa ajiri ya mapambo ya nje na ndani kwa kutumia Technolojia rahisi na iliyopo tayari.

Geuzeni frustration ya mtu kuwa changamoto siyo kumchamba mtu

We need toThink Critically.
 
aliyeshiba hamjui mwenye njaa jamaa kauliza vizuri nyie apo mnajib 2 ovyo . Kumbukeni hamjamaliza dunia yanaweza kuwakuta anywhre inlife co kisa mna kaz ndo mjib ovyo je mnawaz nin vichwan mwenu mnafikr hakuna tena shida ?
 
Jaman tushauriane. Graduates kila mwaka wana mwagika. ...na ajira hazpatikan

Mbona ajira zipo tele? Tatizo watu wanachagua kazi za kufanya ambazo ataiba ili baada ya miezi miwili hivi awe amenunua gari n.k, na mbaya zaidi hawataki kujiari wenyewe ila wanataka kuajiriwa.

Tafuteni kozi za ujasiria mali mjiajiri wenyewe.
 
usikate tamaa endelea kuapply ndugu pia ili uweze kujikimu kimaisha anza kibiashara cha kuweza kupata sent mbili tatu mambo yatakaa sawa tu pia ku volunteer i mean kujitolea ni njia moja wapo ya kupata ajira ya kudumu kama ukiifanya kwa bidii..NO SURRENDER.
 
Mwalimu J.k Nyerere aliuweka mfumo wa elimu ya Tanzania kwa wasomi kuwa ni wa kutegemea AJIRA/KUAJIRIWA kwa niaba ya kupata wataalamu kuendesha mashirika mbalimbali ya Umma, kwanini kwasasa inakua ngumu kuubadili mfumo huu ili wasomi wasitegemee sana kuajiriwa na badala yake kujishughulisha katika kazi mbalimbali za kijamii ikiwa wanauwezo pia wa kupata interests mbalimbali as well as wanaisaidia jamii yao kwa shughuli hizo?
 
Jaman tushauriane. Graduates kila mwaka wana mwagika. ...na ajira hazpatikan

Nafikri hapa tutafanya makosa sana ku- generalize hii habari eti kwamba ajira zimeadimika au zimekuwa ngumu? Unalinganisha na wakati gani? Kikubwa hapa ni kubainisha ni watu wa kozi zipi ambao wanakwama katika ajira wanapomaliza? Maana bado kuna kozi nyingi tu ambazo watu wanapomaliza kule mitaani wanagombaniwa.

Tatizo kubwa la vijana mnataka kazi bora kabisa mara mnapomaliza tu chuo hata wengine kutamani kazi ambazo haziendani na kozi walizosomea, kwa ufupi mnachagua/mnabagua sana kazi nyie!! Mnataka mnapomaliza tu kesho yake tuwaone mnaendesha magari ya kifahari, acheni hizo. Kama wewe umesoma kozi ambayo unaweza kujiajiri fanya hivyo, (acha kulialia mitaani) zote hizo ndo ajira za Ki.kwete!! Unakuta mtu kasomea u-walimu yeye anataka akafanye kazi TRA, TANAPA, NSSF au kwenye migodi sasa hapo utaachaje kulia ajira kuwa zimekuwa ngumu?

Hebu wewe mleta mada nikuulize "umesoma kozi gani na chuo gani" - "THINK OUT OF THE BOX GUY"
 
`umjomba mjomba umekuwa mwingi TZ ndio unaangaliwa sana kuliko weled wa wamtu
 
Kwa vijana wa chuo, wapenda maendeleo Umri kati ya miaka 18-40, Kambi maalum ya kimataifa kwa vijana inatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 3-17, Agosti, 2014 na nyingine 31,Agosti- 13,September,2014. (Kwa muda wa wiki Mbili Kila moja.)
Jifunze, Shiriki, Jumuika, na Badili Fikra.
PROGRAMS;
ENVIRONMENTAL ISSUES
BUSINESS PLAN WRITING
RESEARCH AND REPORT WRITING SKILLS
HUMAN RIGHTS ADVOCACY
GOOD GOVERNANCE & LEADERSHIP SKILLS.
ENTREPRENEURSHIP SKILLS
HEALTH CARE AND LIFE SKILLS
VOLUNTEERISM PROGRAM
INTERVIEW SKILLS
+ TOUR DURING THE WORK CAMP TO (E.g MIKUMI NATIONAL PARK, ULUGURU MOUNTAINS, WATER FALLS AND OTHER TOURISTS AREAS to Promote National Tourism Sector).
Unaweza kutuma maombi yako sasa, Kwa Maulizo na Taarifa zaidi
Wasiliana nasi moja kwa moja.
Barua pepe: wwtyouthexchange@gmail.com
Simu/ Whatsapp: 0716 979 939/ +255 712 439 124/ 0756 438 070
Landline: 023 262 3036
Twitter: @IycepTanzania

toeni mitaji kama elimu watu washapata toks vyuoni n mashuleni hii janja janja yenu yakuita watu na vingilio tushaichoka
 
aliyeshiba hamjui mwenye njaa jamaa kauliza vizuri nyie apo mnajib 2 ovyo . Kumbukeni hamjamaliza dunia yanaweza kuwakuta anywhre inlife co kisa mna kaz ndo mjib ovyo je mnawaz nin vichwan mwenu mnafikr hakuna tena shida ?

umetisha mkuu . watu hawajui maisha ni sawa na mbio za vijiti.? wasibweteke hii dunia tyuuu.
 
Back
Top Bottom