waangalie hapa:
TBC Ikirusha kutangazwa kwa Joshua Nassari Mbunge Mteule Arumeru Mashariki - YouTube
Nimemsikiliza jamaa, kwa kweli ana deserve hicho alichopata!
Hawa wazee wanaopata viinua mgongo kutoka CCM leo wako wapi? Mbona kila Post siwaoni au wamekatiwa uduma ya Airtime?????
Waache kupotosha umma wa waTZ imetosha kuifilisi hii nchi wenyewe wameshtuka...
Nadhani leo hawajapata mgawo kutoka kwa bosi wao..
Tume washika pabaya walichonga sana
Basi sasa chadema inatosha,mmeshinda ubunge wa arumeru tu sio wa nchi nzima......!
Rejao jana usiku alikuwa akifuatilia matokeo kutoka vituoni, ilipofika saa nne akaone upepo ni mbaya akaaga kwenda kulala. Sidhani kama ameshaamka tayari maana huenda aliota ndoto mbaya kuhusu magamba kugalagazwa.Hawa wazee wanaopata viinua mgongo kutoka CCM leo wako wapi? Mbona kila Post siwaoni au wamekatiwa uduma ya Airtime?????
Waache kupotosha umma wa waTZ imetosha kuifilisi hii nchi wenyewe wameshtuka...
Nadhani leo hawajapata mgawo kutoka kwa bosi wao..
Tume washika pabaya walichonga sana
Lakini kumbuka viongoI karibu wote wakuu wa CCM walishiriki kampeni hiyo...sasa subiri 2015 kila mtu kivyakeBasi sasa chadema inatosha,mmeshinda ubunge wa arumeru tu sio wa nchi nzima......!
hahahaaaRejao huyu hapa :behindsofa: Ritz huyu hapa 😛eep: