Mwambie apewe barua ya termination na reason ya kuwa terminated, swala la kuwa mjamzito sheria za kazi zinampa mama likizo ya miezi mi3 baada ya kujifungua!! Kama ameachishwa kwa ajili ya kubeba ujauzito na kwenye mkataba hawajaeleza hilo swala basi apeleke hyo barua ya termination kwa wanasheria alipwe hela ya kutosha mpaka mkataba wake utakapoisha!!
[h=2]Jamani tumsaidieje huyu dada?[/h]Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla hajaolewa, kwa hiyo kavunja masharti na adhabu yake ni kufukuzwa kazi, shirika lenyewe linashughulika na mambo ya mikopo midogomidogo kwa wananchi, Je, kwa sheria ya kazi hii ni sahihi? kwahiyo kama alipata ujauzito wao walitaka autoe? anadai mkataba aliojaza haukuwa na kipengele hicho. Je bado kuna mashirika yanaweza kuwa na sera au sheria za namna hii kweli au ni unyanyasaji kwa wanawake wenyewe wanafanyiwa kwani inasemekana mabosi wakuu ni wanawake na hawajaolewa, sasa wamemtumia Email ya kukabidhi kila mali ya shirika lakini hawataki kumpa barua ya kuachishwa kazi wala pesa za kusafirisha mizigo hadi kwao kama sheria ya kazi inavyosema pale mwajiri anapoamua kusitisha mkataba wa mwajiriwa wake. Tumsaidieje kiushauri wadau na pia hii inaweza kuwa somo kwa waajiri wenye sheria kandamizi zinazokiuka haki za binadamu. Ahsante naomba kuwasilisha ila msaada wa kisheria ni muhimu sana, mhanga kwao ni Shinyanga.πarty:
Hivi unajua ukiacha sheria za kazi kuna sheria za kazi ndani ya kampuni binafsi? Hayo masharti aliyoambiwa asivunje mbona hasemi ni yapi,na kwanini alikubaliana nayo? Ningefurahi wakati anaambiwa mtu akipata mimba atafukuzwa angekuja kupost hapa au angewaona hao wanasheria kabisa ili hatua zichukuliwe but amesubiri amepata mimba amefukuzwa kazi ndio anaomba ushauri. Sitetei hiyo kampuni(hata siijui) but kuna kazi huwezi kufanya ukiwa na mimba(kuumwa mara kwa mara,tumbo kubwa,kutapika ovyo,etc) ndio maana kuepuka hilo huwa wanaongea na wafanyakazi wao mwanzoni kabisa. Mwambie aje na details zote kabla ya kusaidiwa asitake huruma kwasababu ya ujauzito.
Jamani tumsaidieje huyu dada?
Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla hajaolewa, kwa hiyo kavunja masharti na adhabu yake ni kufukuzwa kazi, shirika lenyewe linashughulika na mambo ya mikopo midogomidogo kwa wananchi, Je, kwa sheria ya kazi hii ni sahihi? kwahiyo kama alipata ujauzito wao walitaka autoe? anadai mkataba aliojaza haukuwa na kipengele hicho. Je bado kuna mashirika yanaweza kuwa na sera au sheria za namna hii kweli au ni unyanyasaji kwa wanawake wenyewe wanafanyiwa kwani inasemekana mabosi wakuu ni wanawake na hawajaolewa, sasa wamemtumia Email ya kukabidhi kila mali ya shirika lakini hawataki kumpa barua ya kuachishwa kazi wala pesa za kusafirisha mizigo hadi kwao kama sheria ya kazi inavyosema pale mwajiri anapoamua kusitisha mkataba wa mwajiriwa wake. Tumsaidieje kiushauri wadau na pia hii inaweza kuwa somo kwa waajiri wenye sheria kandamizi zinazokiuka haki za binadamu. Ahsante naomba kuwasilisha ila msaada wa kisheria ni muhimu sana, mhanga kwao ni Shinyanga.πarty:
Aende tume ya usuluhishi na uamuzi maeneo aliyopo watampa msaada zaidi, kitendo alichofanyiwa ni cha ubaguzi wa hali ya juu