joseeY
Senior Member
- Nov 4, 2010
- 108
- 17
Eti Simba Akizeeka anaongeza mbinu za kuwinda? Hapana,Nadhani anaongeza mbinu za kuiba mizoga iliyokwisha uliwa na wenzake,Uzee umeumbwa,Samahani Situkani Wazee,Tatizo huwezi kupeleka vitani kundi kubwa la wazee ukitegemea ushindi,labda kuna miujiza,Naamini Wazee hawa wanamiujiza ya "ABRAKADABRA",ile miujiza ya Jipigie kura mwenyewe kisha matokeo yaonyeshe hata ya kwako ulimpigia mpinzani wako,hao ni CCM,kama wamepeleka miujiza hiyo sitoshangaa maaana kweli wao ni wazoefu wa kuiba kura na huenda wakashinda!Nawaaminia.
Tufike mahali hata umri wa kustaafu kwenye siasa uwe jambo la kikatiba. Hawa wanaojiita wazee sidhani iwapo wanalo jipya tofauti na ubinafsi wa kujilimbikizia mali za wizi chini ya mwavuli wa chama! Msemo kwamba "mbwa mzee hajifunzi mbinu mpya" ni dhahiri kabisa kwao! Iwapo wangekuwa na mbinu mpya taifa letu lingesonga mbele, na huu uozo wote tunaoushuhudia kwa sasa usingekuwepo!