Jamani tuchakachue hii pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tuchakachue hii pesa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drphone, Jan 21, 2011.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wakuu heshima mbele
  naomba nieleze kwa kifupi kuna viongozi wamechakachua eneo la wazi lililotolewa kwa ajili ya shughuli za kijamii ni eneo la heka mbili walichofanya wakajenga kiofisi cha ccm baada ya hopo wakaanza kukata vipande na kuuza kinyemela wananchi tulipo hoji wakasema eneo lililotolewa ni heka 1 na lilitolewa kwa jamii na ccm.
  wale wenyeji walokuwepo wakati linatolewa wakatoa ukweli wakaonyesha mipaka halisi viongozi wa ccm walochakachua wakawa hoi ikabidi sisi tunaopinga huu ufisadi tukajipanga vzuri na huyu mwenyeji anayejua ambaye wakati hawa wachakachuaji hawakumshirikisha wakawa wanamfata ili wampoze alipotueleza tukapanga dili tukawarekodi na tukafanikiwa kupata data zote jinsi walivyouza kiasi walichouza na walikuwa nani na nani waligawana bei gani bila wao kujua na huyu mwenyeji mpiganaji akawaeleza kwamba ayupo peke yake so akatukutanisha nao mafisadi tukarekodi kila k2 ss wamemletea mpiganaji millioni moja kati ya 3 ambazo walitakiwa watupe wote na sisi kama mgao amezipokea azina maandishi wala ushaidi na sisi mpango wetu upo paleple tunahofia tukiwarudishia ss watastuka wengine wanasema tugawane na mahakamani tuwapeleke. je wakuu mnatushauri nini?
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kumbe na wewe umo, ila uvumi kwa sababu hujapata EPA, ndugu yangu kwa milioni moja unataka kusaliti vizazi na vizaji, maana inafikia point hata sehemu ya watoto kuchezea hakuna
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu nitake radhi napinga ufisadi kwa nguvu zote na mm nimefanikisha zoezi lote la kuhamasisha mpaka kupata ushahidi
   
 4. S

  Sumuni Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa vema kama ungesoma kwa makini na kumwelewa kabla ya kumshutumu. Anaomba ushauri ni namna gani waendelee mbele na suala hili. Anahofia maamuzi ya kukurupuka yanaweza kuwapa ushindi mafisadi. Lakini mpaka sasa wako vizuri (ikiwa nitaamini alichokisema, na ofcourse ninaamini). Heko Mpiganaji, wataalamu wa sheria tafadhali mpatieni mbinu.
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  asante kwa kuelewa mana hapa watu wanakimbiliga kushutumu anacopy neno moja utafikiri wapo kwenye midahalo ya dini
   
 6. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kuleni na mahakani wapelekeni
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  safi nimekusoma mkuu
   
 8. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Weka data kamili bila chenga. ni wapi huko na ni kina nani?
   
Loading...