Jamani tigo wanaomba hela hata wanafunzi huku baharini aghakan shame afande mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tigo wanaomba hela hata wanafunzi huku baharini aghakan shame afande mwema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 1, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,316
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Kana kwamba mishaharaa aitoshi sasa polisi wameamua kuendelea kutia aibu jamani..natoka kwa ofisi napita huku chini
  baharini wamewakamata wanada wawili na mwanaume mmoja wamejikalia wanapata hewa huku wanawatishia kwa nini wako hapo mpaka saa hii jamani watanzania wanamuda wakukaa sehemu ya starehee loh hizi njaa
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,316
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Maskini wanawafunga pingu jamani
   
 3. M

  Mwera JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Polisi waamezidi njaa mpk wanatia kinyaa,mimi nilikua natoa pikpik yangu nje kutoka home kwangu kama mita3 kutoka getini kwanyumba yangu akapita polisi wapikpik akasimama akasema nimekukamata hujavaa helmet,nikamjibu kutoa pikpik ndanikuweka nje mpk helmet?nanisheria yawapi au nchigani hiyo wakati hata barabarani sijaingia?akajiumauma akasema wenzio hatujanywa chai,nikamdharau akaona aibu akaondoka,kwakweli wanatia kinyaa na aibu hizi sinjaa tena niutapiamlo wawizi.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,316
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  twende mbele turud nyuma unahisi tatizo nini??
   
Loading...