Sijui hii imekaaje, unapiga simu, unapokelewa na tangazo lao la XTREME kama dk moja na nusu then ndo unaambiwa simu haipatikani, iko busy au haipatikani, mi naona ni kero na kupotezeana muda, wekeni mabango tusome.
Kwanini tigo wasiboe wakati jina lenyewe matusi matupu? Hiyo tigo ni masaburi kweli. Maaana huduma zao zimekaa kitigotigo. Hata hivyo si tigo peke yake. Makampuni ya simu Tanzania ni wezi watupu wanaoshirikiana na mafisadi kuangamiza na kuwaibia watanzania. Linganisha viwango vya gharama wanazotoza na nchi nyingine jirani utajua nimaanishacho baba yenu.