Eraldius JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 1,123 Reaction score 913 Feb 3, 2012 #1 Wakati kilakona ya Jiji la Mwanza Ccm wako busy na sherehe za chama kitaifa zitakazofanyika jijini hapa tarehe 5 mwezi huu ,wakazi wa jiji tunalia na kusaga meno juu ya mgao wa giza tulonao sasa yapata siku ya nne.Hivi namikoani kuko hivi?
Wakati kilakona ya Jiji la Mwanza Ccm wako busy na sherehe za chama kitaifa zitakazofanyika jijini hapa tarehe 5 mwezi huu ,wakazi wa jiji tunalia na kusaga meno juu ya mgao wa giza tulonao sasa yapata siku ya nne.Hivi namikoani kuko hivi?
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Feb 3, 2012 #2 Hicho kilio tulisha kizoea ndo maana mi niliamua kununua solar!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Feb 3, 2012 #3 Wakuu wanakula nchi mwanza.