A Adrian Mhina New Member Joined Aug 14, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Mar 7, 2014 #1 kama una taarifa ya lini NHIF wanatoa shortlist yao nijuze tafadhali. [h=2]Kwa mwenye tetesi tafadhali anijulishe. [/h]
kama una taarifa ya lini NHIF wanatoa shortlist yao nijuze tafadhali. [h=2]Kwa mwenye tetesi tafadhali anijulishe. [/h]
T tshabalala_the_greto JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 452 Reaction score 229 Mar 7, 2014 #2 Bado ni kitendawili kinahitaji kuteguliwa mkuu...nahic sasa yapata miezi 2 tangu deadline of application ipite....tuombe Mungu tuendelee kusubiri
Bado ni kitendawili kinahitaji kuteguliwa mkuu...nahic sasa yapata miezi 2 tangu deadline of application ipite....tuombe Mungu tuendelee kusubiri
A Adrian Mhina New Member Joined Aug 14, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Mar 7, 2014 Thread starter #3 duuh yaan inanifanya niwaze sana.
A aloyhiza Member Joined Jul 12, 2013 Posts 48 Reaction score 15 Mar 7, 2014 #4 Adrian Mhina said: duuh yaan inanifanya niwaze sana. Click to expand... unawaza nini, wakati shortlist ikitoka hujui kama upo au haupo? na ukiwepo bado kuna itervew zinaendelea. kazi kama hizo sio za kujifikilisha, unatuma hafu unasahau.
Adrian Mhina said: duuh yaan inanifanya niwaze sana. Click to expand... unawaza nini, wakati shortlist ikitoka hujui kama upo au haupo? na ukiwepo bado kuna itervew zinaendelea. kazi kama hizo sio za kujifikilisha, unatuma hafu unasahau.