Kwa mwenye taarifa kuhusu hizi selection za TCU naomba atujuze, maana walishwahi kusema kupitia gazeti la mwananchi kuwa selection ingefanyika trh 15/07/2012 ila mpaka leo naona kimya.
Majibu kwa anaejua.
Hawa jamaa(tcu) hawaaminiki,mwaka jana walianza early july,wakaja sometime in july,august... ma mambo mengne kama hayo. Kuweni wavumilivu mambo yatatoka tu.