Jamani naomba msaada wa kupata namba za Simu za watu wa USPS (United States Postal Services) - Dar-es-salaam. They hav my parcel, but I am here in Mwanza, no offices here, I don't know how to get my parcel Man!
Help Help
unajua nin hata mimi nilitumiwa money order na my pal wa state,wakashindwa wafanyaje,nikampostia order yake na kanitaarifu ameshaipata,hawa jamaa hawapo makin kabisa.
Jamani naomba msaada wa kupata namba za Simu za watu wa USPS (United States Postal Services) - Dar-es-salaam. They hav my parcel, but I am here in Mwanza, no offices here, I don't know how to get my parcel Man!
Help Help
Ni hivi USPS hawana ofisi DAR hata nchi yeyote EAST Africa. Wao wanafanya kazi na Post offices mfano Posta TZ. Kama una parcel naamini utakuwa na parcel number (mfano CJXXXXXXXXXXUS or LJXXXXXXXXXXXUS) ambayo utakuwa umeitumia kutrace hiyo parcel online. Tahadhali USPS parcel huweza kuchukua muda mfupi sana au mrefu kukufikia kutegemea na mode iliyotumiwa kutuma mfano priority expedieted au normal mail.
Chakufanya i-trace tena online kujua parcel yako iko wapi. Chances ni kwamba itakuwa imekwana Posta au Customs Dar kutegemea na aina ya parcel. Karibu