kweli bongo kuna haja ya kuwa makini sana na lugha hii ya Kiswahili na conversations zingine, mbali na hapo unauzwa bila kujijua! cc Paloma, sosoliso, Mentor, Mkereketwa_Huyu
Mkuu kumbe nawe ni mtaalam wa kukagua haya mavitu, kwa kuongezea sio zuri tu bali ni laini na lenye muonekano mzuri pia, wapo wataalam wengine nawapa nafasi nao walizungumzie pia!