Jamani nisaidieni kiungulia kinanitesa ( heartburn)

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,774
8,724
Mwenye kujua suluhisho la kiungulia kama ni majivu na yalaga mpaka kero msaada maana haya ninayo yapata mateso.
 
mwenye kujua suluhisho la kiungulia kama ni majivu na yalaga mpaka kero msaada maana haya ninayo yapata mateso

KIUNGULIA::

TIBA;:
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback

264px-Nigella_sativa_oil.jpg




Nigella Sativa oil au Black seed Oil Mafuta ya Habat Soda yanapatikana mjini Dar

kwenye Maduka ya wauza Dawa za Kisunna Karibu na sokoni

Kariakoo..............Kaulize utapata huko.Au Uliza kwenya Ma-Super Market Makubwa

yaliyopo mjini Dares-Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom