Jamani nisaidieni jela inaniwinda

Jamani nisaidieni jela inaniwinda

Duh jf ni kiboko, kazi unayo aisee ushauri wa kutosha!!

Kama vip hama huo mtaa kbs
 
Tena mahakimu wa siku hizi hawana huruma mkuu miaka 30 hiyoooo inanukia kama mchezo vile. Usiombe hakimu awe mwanamke mbona utaisomaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Ablessed huyu jamaa hajipendi, mtu anayejipenda hawezi kucheza na moto maana anajua utamuunguza. Na ukitoka huko miaka 30 huna mbele wala nyuma maisha yameshakutupa mkono sijui atakuwa mgeni wa nani. Yanabaki majuto tu ni mjukuu.

Last edited by a moderator:
Mkuu Ablessed huyu jamaa hajipendi, mtu anayejipenda hawezi kucheza na moto maana anajua utamuunguza. Na ukitoka huko miaka 30 huna mbele wala nyuma maisha yameshakutupa mkono sijui atakuwa mgeni wa nani. Yanabaki majuto tu ni mjukuu.
Hahahahahahahahahahaha huyu kachoka kuishi uraiani anataka kuishi ndani ya geti na kulala chini bila kusahau kula ugali wa buree. Hajui mujini hapa wanamlia taiming tu tego likikubali atawekewa achague kutoa 10m au kwenda jela. Chezea bongo weye kila kitu dili watu wakale wapi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Akishafikishwa lupango atadhani yumo katika ndoto mbaya akiamka asubuhi atagundua ni ndoto tu kumbe ndio ishatoka miaka 30 ya kula na kulala bureeeee.

Hahahahahahaha lkn tuache masihara unajua wengine wanaombea wakaishi jela eti hakuna stress kwani hudaiwi kodi wala bill ya umeme na msosi buree. Haingii akilini eti anajua hadi binti kavaaje , je alijuaje kama amevaa hivyo alivyovaa na kachunguza hadi umbo la katoto hako hivi sio tego hilo kweli. Kisha kamemlazimisha akafundishe twisheniiiiii na sio tuition za mchana wao wako twisheniiiiii mmmh makubwa haya .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...labda alishakachungulia au alikauliza mwache acheze na moto umuunguze ndio atajua tamu ya moto.

katika nyumba niliyopanga kuna binti wa kike anasoma kidato cha tatu ananitia majaribuni anadai eti ananipenda tangia siku nyingi mm nikamkatalia nikamwambia yy bado mwanafunzi hivo some kwanza mapenzi baadae nikajua kanielewa but wiki hii kaja na gia ya kuomba nimfundishe nikamkubalia kumtichi tatizo lake anakuja nda kwangu usiku eti nimfundishe huku amevaa kanga moko na chu...pi tu ful mitego mtoto mwenyewe wa kinyakyusa ful hips.so nifanyeje kwan naona jela hii coz ni mwanafunzi

Mmmh nyumba za kupanga hizi,zina mambo!
 
...labda alishakachungulia au alikauliza mwache acheze na moto umuunguze ndio atajua tamu ya moto.
Mi nna mashaka wanataka kumtegea akiingia king tu wanambebesha kesi . Sasa ili atoke watampa choice either kutoa shekeli au kwenda jela na dau watamuwekea kubwa mbona atajibeba. Halafu mwaka ndio huo unaanza full stress za ada za shule . We mwache tu .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mujini shughuli nzito mitego kama hii hutegwa sana ukiingia kichwa kichwa tu basi itakula kwako.

Mi nna mashaka wanataka kumtegea akiingia king tu wanambebesha kesi . Sasa ili atoke watampa choice either kutoa shekeli au kwenda jela na dau watamuwekea kubwa mbona atajibeba. Halafu mwaka ndio huo unaanza full stress za ada za shule . We mwache tu .
 
umasikini ni chanzo cha kila uovu duniani!
NI UMASKINI TU !
 
Labda Unajichekesha kama kiongozi flani hivi...ungekuwa siriazi yangekwisha kitambo sana....

Ama unamtaka au humtaki, kumruhusu kuingia kwako tena usiku ni hatari kubwa. Anaweza akafanya mchezo wowote na ukashindwa kujitetea mbele ya jamii, labda mahakamani.

Siku akiamua kuigiza kwa kuchana nguo na kupiga kelele kuwa unambaka, wananchi hawatakuuwa kweli!!?
 
katika nyumba niliyopanga kuna binti wa kike anasoma kidato cha tatu ananitia majaribuni anadai eti ananipenda tangia siku nyingi mm nikamkatalia nikamwambia yy bado mwanafunzi hivo some kwanza mapenzi baadae nikajua kanielewa but wiki hii kaja na gia ya kuomba nimfundishe nikamkubalia kumtichi tatizo lake anakuja nda kwangu usiku eti nimfundishe huku amevaa kanga moko na chu...pi tu ful mitego mtoto mwenyewe wa kinyakyusa ful hips.so nifanyeje kwan naona jela hii coz ni mwanafunzi
mbona kwa post yako jinsi ilivyo ni kama unashabikia yakukute ili ukaonje maharage ya jela mkuu
 
Back
Top Bottom