Huyu kishongo anaonekana ni mtoto wa Fisadi mbona anajibu ndivyo sivyo. Vumbi anaomba msaada jinsi ya kupata Uraia, asaidiwe kuhusu hilo, au kishongi ndie atakae piga vigeregere akisikia Chenge amekua spika, na lowasa amekua waziri mkuu, rostam wazili wa fedha, januali wazili wa habari, sasa sijui sugu akikutana na januari itakuaje, ingawa yeye kaniambia, akikutana na januali atamchunia ila januali akianza kumsalimia atamjibu safi ila ugonvi wetu wa marelia upo palepale na sasa umekua x2.