Elections 2010 Jamani nisaidieni haraka

Vumbi

Senior Member
Nov 7, 2010
191
27
Jamani nawezaje kupata uraia wa Rwuanda? kama chenge atakuwa spika wa bunge la JMT na EL kugombea uraisi 2015 na RA kuendelea kugharamia mafisadi basi kiama cha Tanzania kimefika. Nahitaji kuhamia Rwuanda tukasaidiane na Kagame kukuza uchumi ili wakati watanzania wakiangamia kwa umaskini mimi nisiwe shuhuda au miongoni mwao. CCM ni hatari kuliko firauni au lusifa.
 
Ni kheri ujitoe mhanga uue mmojawapo tutasema umekufa kishujaa! Huko Rwanda utakufa kwa presha, kwa jinsi hawa ndugu zako huku watakavyo chakazwa na hao mafisadi!!
Wewe uliamini kkuwa kuna msomi hapa JF angeweza kuntukana Dr Slaa eti ni mbabaishaji na Kikwete ndie anayeweza kila kitu!
Watanzania tulishapiga kutu akili zetu na rational thinking hakuna tena!
Chenge atakuwa spika na Lowasa atakuwa waziri mkuu!! Na watanzania tutawashangilia!
 
Jamani nawezaje kupata uraia wa Rwuanda? kama chenge atakuwa spika wa bunge la JMT na EL kugombea uraisi 2015 na RA kuendelea kugharamia mafisadi basi kiama cha Tanzania kimefika. Nahitaji kuhamia Rwuanda tukasaidiane na Kagame kukuza uchumi ili wakati watanzania wakiangamia kwa umaskini mimi nisiwe shuhuda au miongoni mwao. CCM ni hatari kuliko firauni au lusifa.

Nenda salama, wasalimie.
Sisi wengine bado tunaipenda Tanzania yetu.
 
Huyu kishongo anaonekana ni mtoto wa Fisadi mbona anajibu ndivyo sivyo. Vumbi anaomba msaada jinsi ya kupata Uraia, asaidiwe kuhusu hilo, au kishongi ndie atakae piga vigeregere akisikia Chenge amekua spika, na lowasa amekua waziri mkuu, rostam wazili wa fedha, januali wazili wa habari, sasa sijui sugu akikutana na januari itakuaje, ingawa yeye kaniambia, akikutana na januali atamchunia ila januali akianza kumsalimia atamjibu safi ila ugonvi wetu wa marelia upo palepale na sasa umekua x2.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom