Nani mmiliki halali?? Nani anastahili kula hizi ndizi?? #Team utata.
Uanaweza kuamua kesi hii?? Au ikitokea ndizi zimekuja upande wako utafanya nini kama hivi na kisheria hapa nani mmiliki!!
Kikwetu, huyo mwenye upande mkungu ulipo hukata nusu na wa upande ulikoota mgomba hula hiyo nusu ingine. Hii ni dalili hao watu ni majirani wazuri saana tu. Hukutana mara nyingi na kuchart pamoja.