KingKipara
Member
- Aug 14, 2014
- 19
- 1
Mwambie una ngoma, mnaishi kwa matumaini na demu wako, hatakusumbua tena!
daaah bonge la idea hilo asante Mkuu
KingKipara huyo mwanamke obviously anataka kuharibu uhusiano wako....makusudi kabisa....
hamna sababu kwanini mwanamke wako asikuelewe. muonyeshe mwanmke wako kuwa we ni mwaminifu. awe na uhuru na simu yako. inabidi aelewe kuwa umejitahidi kumuepuka huyo mama. badili number. ikiwezekana badilisha makazi kabisa. kuna watu ni ving'ang'anizi wewe!!! lakini sikujua hadi wanawake!!!!!
Mwambie una ngoma, mnaishi kwa matumaini na demu wako, hatakusumbua tena!
Mkuu kubadili namba shauri ya mtu mmoja sio ishu.......huyo mbona rahisi sana kudeal nae.......kutaneni macho kwa uso tena ukiwa na huyo dem wako umwambie ukweli..........watu wanaong'ang'ania mapenzi wanashangaza sana.......
KingKipara huyo mwanamke obviously anataka kuharibu uhusiano wako....makusudi kabisa....
hamna sababu kwanini mwanamke wako asikuelewe. muonyeshe mwanmke wako kuwa we ni mwaminifu. awe na uhuru na simu yako. inabidi aelewe kuwa umejitahidi kumuepuka huyo mama. badili number. ikiwezekana badilisha makazi kabisa. kuna watu ni ving'ang'anizi wewe!!! lakini sikujua hadi wanawake!!!!!
mie siwezi hama au kubadilisha number ya simu,unamwambia na unakuwa mkali,
KingKipara huyo mwanamke obviously anataka kuharibu uhusiano wako....makusudi kabisa....
hamna sababu kwanini mwanamke wako asikuelewe. muonyeshe mwanmke wako kuwa we ni mwaminifu. awe na uhuru na simu yako. inabidi aelewe kuwa umejitahidi kumuepuka huyo mama. badili number. ikiwezekana badilisha makazi kabisa. kuna watu ni ving'ang'anizi wewe!!! lakini sikujua hadi wanawake!!!!!
eti adhumani ndo nani vile, na kubrock ndo kufanyaje tena, hivi demu maana yake nini mkuu? eti mrembo mna malengo lakini bado unamwita demu mmhh!!!!!!!!!!!! mchane black n white uyo mama nani alokuwa akifuata magari ataacha kukusumbua si alikuacha mwenyewe saivi kakumbuka nini tenaalikuwa mpenzi wangu miaka miwili iliyopita, akanitosa nikaendelea na maisha yangu Mungu si adhumani Jamaa kamvuruga akamzalisha mtoto mmoja akampiga chini,
karudi kwao kanikuta mi nipo tu sijaoa japo ninamrembo Wang tu bado tuna malengo!
tatizo anasumbua kuniomba msamaha kila siku ananisumbua kupiga simu sms kila saa nikambrock kabadili laini tena , keshaongea na demu Wangu Mara nyingi lakini wapi
huwa simjibu lakini sms zinaingia tu sio usiku sio mchana
tumeanza kugombana na dem Wangu kwa sababu ya Huyu Dada na mimi simtaki maana alinitosa vibaya kisa mi sina gari akaenda kwa mwenyewe nazo.
sasa nitumie njia gani
ananipasua kichwa jamani demu wangu kanuna tangu juzi sababu yake