Jamani ni chuo gani kitanifaa

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Waungwana habari zenu?

Mimi ni dereva na niko na uzowefu zaidi ya miaka 10 kwa magari tofauti.

Sasa nataka niendeleze huu ujuzi kwa kusoma kozi mbili hizi
1 fundi umeme wa magari
2 kue desha magari makubwa kama makrini na masterveter na mfano wake.

Jeee ni chuo gani naweza kupata kozi hizo?
Naomba kupatiwa mawasiliano kwa ajuaye

Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…