Jamani ndo nini hivi?

MTU KAZI

Member
Mar 25, 2014
85
0
Juzi nilikua nafatilia Bunge la bajeti, kilicho nishangaza mimi kama mswahili ni namna gani Wabunge na Mawiziri wanavyo halibu Lugha.Waziri ama Mbunge akihalibu kingeleza watu wanan'gaka,lakn la juzi kimya: Waziri-"Maziwa yaliopo hayatoshelezi mahitaji ya mashule". Mbuge- "madawa katika mahospitali".Wale ndio tunawategemea wasimamia lugha na kuipigania halafu wao kwa kujua ama kutokujua wanahalimbu nembo yetu ya taifa.Halafu kunafaida gani kuweka neno la kiingeleza wakati la kiswahili lipo au ndio usomi,lakini wanaokusikiliza wanakuelewa wote ama ndio utumwa wa lugha.Hebu tujitathimini kama ni kingereza tuongee kiingeleza na panapo takiwa lugha ya kiswahili tuiongee kwa ufasaha.
 
Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,388
2,000

Kasoro zenye kasoro, Mods msaidie kurekebisha bandiko lake.
 
afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
2,000
Pamoja na kuwa Kiswahili ni lugha ya taifa usisahau kuwa tumeathiriwa na lugha za mama zetu. Kiswahili pia ni lugha ya kujifunza kama ilivyo kingereza.
 
Mtingaji

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
1,213
1,500
Huyu MTU KAZI atoe kwanza boriti kwenye jicho lake ndipo aone kibanzi kwenye macho ya waheshimiwa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom