Jamani nawindwaa....

Huyo si lugha tu anaonesha ni failure wa kila kitu, umeona alivyoandika? hamna coma wala full stop. Yeye anachojuwa ni kujisifia maasi tu.
Hata hayo maasi yenyewe hayajui vema huyo ni Foolish Form Four Fighting For Food For Four years
 

Acha umalaya dogo watakula kabang
 
UUUUUUpsii gooo ahead ushapewa na walinzi wa kukulinda upo juu

kusoma utasoma uzeeni bambia mademu wa watu hadi uliwe
 
Watamnyonya aki nan ckudangany coz yy ni mpuz ndo mana anatuletea mawaz ya kipuuz
 
Mwanafunzi unajisifia ngono!

Ndio maana hii nchi haiendelei, kwa fikra kama zako sitegemei maendeleo hata miaka 500 ijayo.

Aisee umesema kweli kabisa kamanda, na ndiyo maana maccm yanazidi kukaa madarakani kwa sababu akili ya wapiga kura wengi ndiyo inafikiria mambo haya muda wote!
 
kijana usifkrie sana kuwindwa na huyo jamaa hata demu wako huyo anawindwa na watu wengne kama wewe
 
Unawindwa eti?? Soon utakuwa kitoweo. Subiri
 
Watu wa majigambo na sifa za kipuuzi huwa siwapendi. Mtu mwenyewe hujui hata unachokiandika basi tu ilimradi umepost nawewe.

Unamaana gani kusema "Huyo dada hajaolewa wala kuchumbiwa then ukamalizia eti wanakauchumba ka muda mrefu"?
 
Hivi mtu uanwezaje kuandika uchuro wa namna hii hapa!!! Tena unajisifiwa eti wachumba zangu?? Mtu anakuwa na wachumba wangapi? Ndivyo unavyowadanganya? sasa angalia na mabinti zako utakaozaa wasije wakadanganywa hivi hivi!!! Halafu huna haya ya kutuambia kuwa eti una run na mwanamke unajua wazi alikuwa na boyfriend wake.Aise boyfriend fanya haraka uje ukakate kichwa cha huyu mwizi na mzinzi!!! Soma shule ndiyo mtaji wako!!! Ngono wala K za warembo hazijawahi kuwa mtaji hata siku moja!! Pole sana.
 
FaizaFoxy, true true! dogo kanisikitisha...
 
Last edited by a moderator:
Tena ubakwe kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…