Jamani nàuliza TIA bado?????

Jamani nàuliza TIA bado?????

Wakuu naona views tu comment sion,,,,nisaidien tafadhali maana apa naona vyuo vingine wametoa af mim tumbo jotoo ushauri plz!!!!!!!!
 
Duuh kumbe nawewe yanakupata kama yanipatayo mm juu ya NIT sijui hawatuhurumii kumaliza vocha kununua MB + pressure duuh
 
Yaaani mim apa kila siku tumbo joto màana nlimwambia mzeee nimechagiliwa sasa kila siku ananiuliza nakosa jib lakmpaaa..........tuoneeni huruma sisi watoto wa maskinii nyie serikaliii
 
Back
Top Bottom