Jamani natafuta laptop

Jamani natafuta laptop

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Kwa anaeuza laptop tafadhari aniuzie bajet yangu laki moja! Ingawa ni bei nafuu iwe na hali nzuri kidogo jamani!


Nicheki whatsap +19518884344

au nipigie 0716863406
 
Used laki5,(negotiable) mpya Laki 8 (negotiable) usibeep, tuma sms( whattsap or piga simu! Mob:0755 927881
 
Kwa anaeuza laptop tafadhari aniuzie bajet yangu laki moja! Ingawa ni bei nafuu iwe na hali nzuri kidogo jamani!


Nicheki whatsap +19518884344

au nipigie 0716863406
Nenda dukani utapata, mbona ndio bei zake hizo!
 
Kwa anaeuza laptop tafadhari aniuzie bajet yangu laki moja! Ingawa ni bei nafuu iwe na hali nzuri kidogo jamani!


Nicheki whatsap +19518884344

au nipigie 0716863406

www.google.com/m?q=nauza+laptop+yangu&client=ms-opera-mini&channel=new
 
Mimi napanda dau wakuu nina laki mbili nahtaji laptop,

Mkuu npe ela hyo nichek kwa no 0713943432 ila betri lake linakaa na chaj dk 30 hadi na tano xo kama utakuwa nimtu wa safari itabidi ubadilishe betri ila kama utakuwa ni mtu wa kutulia litakufaa sana tu!
 

Attachments

  • laptop 2.jpg
    laptop 2.jpg
    26.2 KB · Views: 82

Similar Discussions

Back
Top Bottom