nenda duka la dawa za mifugo nunua dawa inaitwa nuvan. 100mls ni sawa na chupa ndogo ya dawa ya kikohozi ya maji. changanya maji litambili panda juu ya dari na fagio unachovya unarusha darini kote. au nunua bomba la spray kama 5000 hivi kurahisisha.onyo; dawa hii ni sumu kali andaa maji ya kunawa kabla. watoto,vyombo yva chakula view mbali
tafuta watu wanaofanya fumigation.., wao watafanya kila kitu na wana utaalamu wa dawa za kutumia, baada ya hapo kama ni kwenye dari hakikisha unaziba matundu ambayo wanatumia kuingia
Popo juu ya paa la nyumba yangu imekuwa kero baada ya kupanda juu singibodi nilikuta kinyesi kimerudikana sehem moja nikazoa debe harufu mbaya naisikia au inanuka juu ya paa singibodi nifundishen dawa... mnaofahamu kesi hii nipen maujanja
Hembu lete huku Kwetu,Pemba Popo Twalaa.
Mbona una dili kubwa la pesa halafu unataka kupoteza Fursa.
Hembu nipe Bei ya Jumla nihamie kwako,niweke mtego wa wavu.
Hembu lete huku Kwetu,Pemba Popo Twalaa.
Mbona una dili kubwa la pesa halafu unataka kupoteza Fursa.
Hembu nipe Bei ya Jumla nihamie kwako,niweke mtego wa wavu.