Jamani nashindwa kumuelewa huyu mwanamke........

Jamani nashindwa kumuelewa huyu mwanamke........

dad24

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
464
Reaction score
121
Habari wana MMU……….........

Kuna kitu kinanitatiza hata nashindwa kuelewa, naamini nitapata kitu kwenu, nimekuwa katika mapenzi muda mrefu kidogo lakini huyu mpenzi wangu ananitatiza najua katika mapenzi kuna kuotoelewana Fulani hutokea sasa ikitokea hivyo na kama mimi ndiyo mwenye makosa huwa naomba msamaha kwa mwenzangu lakini yeye huwa anatabia ya kunilinganisha na mpenzi wake wa zamani , kama kuna udhaifu nimeuonyesha kwake huwa anasema “Yaani huna tofauti na mpenzi wangu wa zamani” sasa huwa najiuliza kama unaniona sina utofauti kwa nini usitafute mwenye utofauti na huyo mpenz wako wa zamani? Akiona nimeuliza hivyo anaomba msamaha kwamba ulimi umeteleza lakini amekuwa akirudia mara kwa mara hiyo kauli mpaka nashindwa kumuelewa anachomaanisha………………….................

Kuna mpenzi wangu wa zamani huwa ananisumbua sana kwenye simu na kunitaka turudiane kwa madai kwamba amehangaika sana na ameona hawezi kuishi na mwanume mwingine zaidi yangu lakini nimekuwa namkatalia kuwa kwa sasa siwezi kurudiana naye licha ya kuwa na mpenzi mwingine lakini alikuwa na kiburi na jeuri, na huyu mpenzi wangu alipo niuliza baada ya kuona massage zake kwenye simu yangu nilimueleza ukweli mimi nilitegemea kuwa labda angechukuwa namba ya simu na kujaribu kumkanya kwamba aachane na mimi lakini matokeo yake ananiambia “si umsamehe mtoto wa watu hawezi kuishi bila wewe” Dah hapo huwa nachoka kwa kweli nashindwa kumuelewa kabisa na ni mtu mzima siyo mtoto eti mwnzoni nilifikiri anatania lakini amekuwa akinisistiza, jamani sijui wanawake wengine huwa hawajui ni kwa nini wapo kwenye mapenzi au?….. kwa sasa ana miaka 25…….Sasa sijui anamaanisha nini lakini nikimfokea kuhusu hiyo tabia anakuwa mpole na anomba msamaha lakini haachi na msmshs anao omba umekuwa hauna maana sasa…. Jamani naomba nisadieni kwa mawazo hapo jamani....….

Natanguliza shukrani zangu na samahani kwa kuwachosha na stori ndefu lengo langu ni kupata mawazo kutoka kwenu …………Karibuni
 
wewe unamchukulia huyo mwenzio too serious
mwenzio kajiegesha tu
 
Hilo ni tatizo mkuu!
M/ke mdomo mrefu si wa kuish nae kabisaaa! Kama vipi mtimue bado hujachelewa!
Miaka 25 bado hajajielewa tu! Tupa kuleee box tupu hilo! Fanya hivyo for the sake of your future!
 
Anatafuta chansi ya kula kona, anataka kumrudia huyo huyo wa zamani. Ni msanii furani na ni wataalamu wa kuomba msamaha na kulia. Piga down meen
 
kweli "love is blind" mpaka hapo bado unafikri huyo mwenzako mko safari moja? anachotaka ni wewe umwache ndo maana anasema huna tofauti na mpenzi wake wa zamani, hakutaki ndo maana asema umrudie mpenzi wako wa zamani. usifikiri anasema maneno hayo kwa bahati mbaya, NO si kwa bahati mbaya. Inavyooonekana anakuogopa ( may be we ni mkali) otherwise angeshaondoka muda. Tafakari!!!
 
Daaah mbona hapo kila kitu kiko wazi..msichana akuambie umsamehe x wako mkuu bado tu hausomi..!!
 
Hakupendi huyo angekuwa anakupenda angekuwa na wivu nawe ila kwa hayo ulosema ni wazi hakutaki ila anategea ww ndo uwe wa kwanza kumuacha...pole. U beta decide today b4 its too late.
 
wewe unamchukulia huyo mwenzio too serious
mwenzio kajiegesha tu

Dah! mimi mwenyewe nina wasiwasi huo mkuu,najitahidi kujitofautisha na huyo mpenzi wake wa mwanzo lakini naona bado anamkumbuka.........
 
Hakupendi huyo angekuwa anakupenda angekuwa na wivu nawe ila kwa hayo ulosema ni wazi hakutaki ila anategea ww ndo uwe wa kwanza kumuacha...pole. U beta decide today b4 its too late.

Nashukuru mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako......
 
kaka unge mtimua kwanza zen ndo upost hiyo post yako coz nahic umechelewa xana kummtimua ----- huyo
 
Daaah mbona hapo kila kitu kiko wazi..msichana akuambie umsamehe x wako mkuu bado tu hausomi..!!

Unajua mkuu mimi mwanzoni nikajua utani lakini mmmh..... inaonyesha anamaanisha kweli ngoja nijiweke pembeni kuepusha msongamano...
 
Watu wengine hivi ni waathirika wa ushauri au? Maana mnataka kushauriwa hata kwa mambo ambayo hayahitaji ushauri, Hee!! Una umri gani kabla sijakushauri.
 
kaka unge mtimua kwanza zen ndo upost hiyo post yako coz nahic umechelewa xana kummtimua ----- huyo

Nashukuru mkuu nimeona niombe ushauri kwa wazoef wa hii mambo kabla sijafanya uamuzi...
 
Kuna watu wamezaliwa wa kiume na mioyo na roho za mama zao!!!!

This guy is too good to be a man for this lady!!!!!!
 
Aisee wewe mpole eeh..kwanini hivyo...hakufai huyo

Omba Mungu atakupatia mwenzi wa maisha
 
Dah! mimi mwenyewe nina wasiwasi huo mkuu,najitahidi kujitofautisha na huyo mpenzi wake wa mwanzo lakini naona bado anamkumbuka.........

Na kila unapojitahidi kujitofautisha ndio unavyzidi kuwa fake and less of your own identities!!!!!

You are derailed young man,find your identity back and live your life,the bytch is a post grad urban dweller while you are in the introduction phase for certificate in the same!!!
 
subiri kulizwa mchukulie poa kama wa kuzugia kakuona uko serious ndo maana anakufanya poyoyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom