Jamani napewa masharti naomba ushauri

Hapo huyo dada ana kababu chake kinachomtunza sasa ili amuingize kingi akawa anataka amzalie. Sasa huenda kubabu kuzalisha tatizo ndiyo maana akachepuka. Sasa anataka usimjue tena ili atumbue kwa kibabu chake. USIONE VYA ELEA. Kwa sasa mabinti wengi wenye pesa wanawezeshwa na wazeeeeeee.
 
Kwani mbegu za kuzalisha zimeisha?..

Fanya hivi; Be calm, silent and dont replicate anything to her, endelea na maisha yako, tena achana nae. Hata kama utalazimisha ni kazi bule, mama ndie mwenye uwezo wa kusema mtoto ni wako au la, na ndicho atakachokifanya kwa mtoto baada ya kuzaliwa na kupata ufaham

Je, kama mama atamwambia mtoto kuwa baba yako ni fulan au vinginevyo wewe unao uwezo wa kum convince mtoto kuwa wewe ndie babake?..think bigger bro...
 
Kuvuja kwa pakacha tunaita siku hizi,mtoto atakutafuta tu usihofu huyo anatwanga maji kwenye kinu.
 
hayo madinyelu chukua,na mtoto ni wako vile vile unaanzisha complain huyo ni mtoto wenu.
 
chukua hela hiyo mtoto wa kiume. utaliliaje mimba? mbona unapotumia kinga unaenda kuwatupa tu? kutupa mbegu na kuiachia hiyo mimba iende zake si sawa tu? ni mtazamo tu, ni mawazo tu
 
Heheh..TII SHERIA BILA SHURUTI...

Tyta huyu mdada kumbe na yeye humo humu MMU,kanipigia simu kuniuliza kwa nini nimepost issue zetu humu,kawaka kinoma ningejua mapema ningefuatilia avatar yake.
 
Tyta huyu mdada kumbe na yeye humo humu MMU,kanipigia simu kuniuliza kwa nini nimepost issue zetu humu,kawaka kinoma ningejua mapema ningefuatilia avatar yake.

kwahiyo umeogopa??
 
huyo ilitakiwa kwanza akulazimishe ulee mimba ili uikimbie..

hapo angepata mwanya wa kukukimbia na mwanae..

hongera lakini kwa kuonesha uwezo wa kuzalisha!

wanaume wengine walivyo na ham na watoto ukimwambia una mimba utajuta anakuganda masaa 24
 
chukua kwanza hizo pesa alafu mkataba mzingue.
 
Hakuna sheria inayobariki makubaliano haramu,kutekeleza wajibu haramu au yenye lengo haramu.
 
Mume/mwenzie atakua tasa, alitaka kukutumia wewe ili alete kiumbe duniani
 

we ulitumika....
full stop mpoteze..
just charge her for your service:eyebrows:
 
vuta mpunga huo,,,,,mtt akizaliwa unamtafuta,,,,unamwambia ongeza mpunga la sivyo unaharibu......huyo kuna dume kama wewe linapukutika mbegu mapepe.........
 
Kama ingekuwa siyo yako angekaa kimya kaona kunaumuhimu wa wewe kufaham ndomana kakwambia bhana picha hyo ila just kama yuko kimasirah furan achananae
 
Pole sana kijana,labda uvunje sherti ili ujue ukweli.
Inabidi umueleze unaye muona anafaa kuzifahamu hizo habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…