Jamani naombeni ushauri

Jamani naombeni ushauri

realfrank

Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
20
Reaction score
0
Hivi mwanamke ana pendelea nini hasa katika mahusiano ili azidi kukupenda na kukuhitaji?
 
mkuu una umri gani mpaka sasa?

wanawake wa sasa wameshakimbilia kwa wazee..

hebu subiri uzeeke kidogo labda utapendwa bila kupendwa!

otherwise vijana mwaambiwa ni wakorofi, hamna caring, mnavujisha siri na mna mikono ya birika...!

solution: kuwa na msimamo katika mapenzi, dont love to the extent of coming to hurt yourself!!
 
Excel hawa wengine hawajijui wako wapi .....!.
 
Last edited by a moderator:
Pesa pesa pesa!!! Wanapenda sana pesa pesa. That why karibu ya wanawake wote wanajiuza.
 
Muulize yeye atakujibu anapendelea nn
 
Wanapenda kuchezewa ngoma za asili...

vitu vingine bana....!
 
Asilimia kubwa ya wadada wa sasa wanataka Pesa na si kingine. Sisi ambao bado hatujapata pesa tunapata shida sana kumiliki hawa viumbe.

Nilikutana na mmoja TU, huyo hataki pesa, she has true love...unfortunately.........
 
Mpe hela,akija kwako wewe mpe hela,muongezee hela tu,akipiga simu wewee mtumie hela!!
 
hivi mwanamke ana pendelea nini hasa katika mahusiano..ili azidi kukupenda..na kuku hitaji?

Swali zuri ngoja nikujibu mimi kaka yako mwenye uzoefu: Mpe mshahara wako nusu,kama una nyumba hati andika jina lake.
 
Wanasema pesa but kuna wanawake hiyo siyo issue.
Mie mwenzenu napenda mtu anayenijali na asiyependa kuniumiza, rafiki na mwenye kujua mahabat... hapo ntampenda mie kuliko asali!
Sasa wengine wanadhani akishaacha hela home thats it... wanabakia kuchapiwa na shamba boy... ah tena hawa wana vitu origino usiombee.... kitu kimekomaa, kikavuuu lol!
 
waambieee haooo@64bits.....na majib yao kama wame zaliwa chooni.....katika point we ndo ume ongea point
 
hivi mwanamke ana pendelea nini hasa katika mahusiano..ili azidi kukupenda..na kuku hitaji?

Juzi nilikwambia subiri ukue na mavuzi yakuote...haya yote uulizayo utajua tu majibu yake
 
hiv we ni men@watu8 ..na bac kama ni men bila shaka uta kuwa shoga na kama ni ...Bint...bila shaka uta bahamed...au changudoa
 
mkuu una umri gani mpaka sasa?

wanawake wa sasa wameshakimbilia kwa wazee..

hebu subiri uzeeke kidogo labda utapendwa bila kupendwa!

otherwise vijana mwaambiwa ni wakorofi, hamna caring, mnavujisha siri na mna mikono ya birika...!

solution: kuwa na msimamo katika mapenzi, dont love to the extent of coming to hurt yourself!!

thats true excel! yaani vijana ni wasumbufu kupitliza asee najuuuuuta kuingaia kweny ulingo wa mapenzi bt wacha nipambane tu!
 
Asilimia kubwa ya wadada wa sasa wanataka Pesa na si kingine. Sisi ambao bado hatujapata pesa tunapata shida sana kumiliki hawa viumbe.

Nilikutana na mmoja TU, huyo hataki pesa, she has true love...unfortunately.........

unfortunately what jmn i wish kujua kilichofuata!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom