Jamani naombeni ushauri kuhusu huyu Mwanamke

Jamani naombeni ushauri kuhusu huyu Mwanamke

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,415
Mimi nina mwanamke nimezaa naye ila tulishindwa kuoana sababu ya roho yake, mean hapendi kuona namsadia mtu mwingine na akawa mtu wa kutaka kuniendesha.

Nikirudi job kelele ugomvi na majirani ugomvi hadi shule na walimu, tukashindwana, kilichoniuzi kabisa ilikuwa kila nikirudi job ugomvi na kauli kama bora gari likugonge ufie huko, nikaona huyu hapana kwa kweli, tulivyoachana mimi nikaja nikaumwa sana nikalazwa Muhimbili.

Alipokuja kuniona atokapo tu kuniona akiwa nje anatuma text bora ufe tu hapo na maneno mengine mabaya,sasa jana kaumwa yeye akanipigia simu kuwa yuko hoi na hana pesa nifanyeje?

Kama kumpa je ningekuwa nimededi kama alivyoombea angepewa na nani,nimpe nisimpe,dogo yuko boarding so hayuko home
 
Hivi hawa Wachawi huwa mnakutana nao wapi, hiyo mitaa niikwepe.

Serious mkuu, nambie huyu mwanamke ulikutana naw wap?
 
😂no way out
Mwanamke mwenzio huyo..Kwa namba nilizovuka hadi leo hii, Nimejaribu kuchunguza kumbe wanawake kweli huwa mnaroho mbaya za tofauti tofauti🤣🤣🤣 this kind of woman doesn’t deserve to be alive haki ya kweli🤗
 
Hebu ngoja kwanza, yaani kaja kukuona hosp Kisha katoka tu kafika mlangoni kaandika text msg kuwa bora ufe?

Na bado ulivyotoka hosp ukaendelea kuwasiliana nae? Na bado ana Namba yako ya simu?
 
Achana nae tu. Hatujaletwa duniani kuwajali wasiotujali broh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom