Nilikuwa na demu wangu miaka miwili iliyopita.sasa Jana nilikuwa maeneo fulani hivi nakula ujana gafula demu wangu nikamuona anatoka guest na jamaa fulani hivi kule kumuulizia akadai jamaa alikuwa anamtongoza ila akamakataria eti yupo nampenzi wake ambaye ni mimi. sasa wadau kweli kuna mapenzi ya dhati hapo maana hali aliyotoka nayo siyo kwa kweli.Nahisi kauza mechi wana MMU