Jamani naomba ushauri kuusu mapenzi..

tafuta anekupenda huyo hakupendi kabisaaaaaaaaaaaaaaa utaishia kujinyonga tu,wewe umekosa mademu wamejaa
bongo hii kaka,au umelogwa?
 
Kwa mujibu wa profile yako una miaka 16 n kweli??????
 
Hakupendi ila ukilazimisha utajiumiza mwenyewe kihisia, anakuchukulia kama spare au mfariji mara tu jamaa yake anapomuacha, nenda zako katafute akupendaye uoe maana huyo hakufai kuoa, atakua anakuacha na kumrudia huyo jamaa yake, wakikosana anarudi kwako kufarijiwa, akipona anaenda tena. SHITUKA
 
Soma kwanza upate pesa Mwanaume halilii kupendwa ukizikamata watakufata wenyewe
 
Watoto someniii, Mapenzi yapo tu.

Hivi nanani aliyewaambia kuwa Kuna mtandao unaoitwa Jamiiforums?
 
Achana na Mapenzi, deal na Maisha
 
Up your game lil bro.

Manake alishaingia kwenye anga zako kuna kitu ulimkera.

Either ulimjaza mimate ukampaka paka

Ama ulimrukia kama kuku

Ama alibaki macho juu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…