Mkuu kama hii habri unatupiga kamba ..........
Anyway,kama ni kweli yametokea hayo.Vipi ulivyoamua kwenda huko ukakuta hali kama hiyo ulitimua?
Na vipi inaonekana huna imani nae sana mpaka ukaamua kwenda huko kuhakikisha kama ni kweli aliyokuambia kwenye simu
Mkuu,hebu muulize na upate jibu ili usimhukumu vibaya pasipo na uhakika, lakini kama ulifunga safari mpaka huko halafu akagoma kufungua na ukarudi home basi kubaliana na matokeo