Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 501
Nimeenda tanga na rafiki yangu john kuwasalimia. Jirani yao mzee xxxxx ana binti mzuuuri mwajei,ila nikatahadhalishwa kuwa nisimguse maaana yatanitokea makuwa ila nikabisha. Nikapiga saunti binti kakubali, tutakutana kwenye room ya john, binti alikuwa bikira mazee, nikatoboa kitu,gafla nikahisi ganzi kushika sina u.....o wangu. Nikamwambia binti ashike na yeye akasema hauoni,nikatoka nduki nje nikimwita john anisaidie kuitafuta na yeye hakuiona. Watu wakakusanyika maana nilipiga kelele sana. Wakatuambia tuwahi kwa baba yake atakuwa ameuchukua kimazingara maana alisha wahi fanya hivo kwa jamaa mmoja alieng'ang'ania binti yake mkubwa, kufika nyumbani kwa mzee tunaambiwa wana siku nne hawamuoni. Je nifanyeje? Nirudi dar? Yani niko nyutro sio binti sio kijana.