Galamtogela
Senior Member
- Aug 25, 2013
- 102
- 27
Atakuwa alilewa mkangafu tu au?
Mtoto mdogo auwawa na baba yake kisa ugomvi na mkewe maeneo ya makorongoni mjini iringa .mara baada ya kumfukuza mkewe amshushie kipigo akamkosa then akarudi nyumbani na kumkuta mtoto wake amelala na kumnyonga shingo na kumuuwa hapo hapo.duh umnyama ulioje? Kweli wanyalu tumezidi asila.
=Hasira
Taalifa = Taarifa
kwahiyo wewe, taarifa aliyoitoa haijakuhuzunisha bali alivyokosea tu ndo imekuhuzunisha!=Hasira
Taalifa = Taarifa
kwahiyo wewe, taarifa aliyoitoa haijakuhuzunisha bali alivyokosea tu ndo imekuhuzunisha!
Kweli Allah has to bless you!