Jamani nani amengalia taalifa ya habari star tv muda huu. Haya ni mauaji ya kutisha sana.

Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
102
27
Mtoto mdogo auwawa na baba yake kisa ugomvi na mkewe maeneo ya makorongoni mjini iringa .mara baada ya kumfukuza mkewe amshushie kipigo akamkosa then akarudi nyumbani na kumkuta mtoto wake amelala na kumnyonga shingo na kumuuwa hapo hapo.duh umnyama ulioje? Kweli wanyalu tumezidi asila.
 
aamerithi tabia za simba dume
anauwa watoto wasio wake kama mama yao anataka kurudiana nae.
huyu nae alitakiwa kunyongwa papo hapo akamsalime Lucifer
 
Mtoto mdogo auwawa na baba yake kisa ugomvi na mkewe maeneo ya makorongoni mjini iringa .mara baada ya kumfukuza mkewe amshushie kipigo akamkosa then akarudi nyumbani na kumkuta mtoto wake amelala na kumnyonga shingo na kumuuwa hapo hapo.duh umnyama ulioje? Kweli wanyalu tumezidi asila.

=Hasira

Taalifa = Taarifa
 
Hakika miaka hii ubinadamu umebaki kusomwa kwenye vitabu vya dini tu, unyama umetawala!
 
=Hasira

Taalifa = Taarifa

kweli mwalimu wa kiswahili unatisha ila nadhani nimekosea maneno mawili tu. Lakini wazungu wanamsemo wao "no body remember when im right but no body forget when im wrong " but next time angalia content .
 
ugomvi ni kisingizio tu,hayo yatakuwa ni masharti ya mganga,si unajua tena watu wa huko na utajiri wa vipunje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom