britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,969
- 45,797
ZipoRisiti?
Jina ? Nataka nitumeMsiba wa mama Winnie Mandela atakaeguswa atume mchango kwenye namba yangu, sote ni ndugu.
M-PESA 0744409220
*Viva WINNIE VIVA AFRICA*
R.I.P winny, chit chat hahaha
jina ni BashiteSimu yako ni ya torch, mbona nimetuma 1,000,000/- inakataa?
Haha jina ni Bashite nambaJina ? Nataka nitume
Msiba wa mama Winnie Mandela atakaeguswa atume mchango kwenye namba yangu, sote ni ndugu.
M-PESA 0744409220
*Viva WINNIE VIVA AFRICA*
R.I.P winny, chit chat hahaha
Nimeipenda hii mbinu yako ya kukusanya michango,niko kwenye gari nikishuka ntakutumia na mimi rambi rambi yangu...Msiba wa mama Winnie Mandela atakaeguswa atume mchango kwenye namba yangu, sote ni ndugu.
M-PESA 0744409220
*Viva WINNIE VIVA AFRICA*
R.I.P winny, chit chat hahaha
Kwa msuguri hahaNinavyozijua ' akili ' za kushikiwa za Watanzania wengi nina uhakika kuwa wapo ' Mapopoma ' utakaowapata / utakaowakota katika hili. Baa gani utaenda ' Kuzitumbua ' ili niwahi ' Siti ' Mkuu kwani nina ' ukame ' wa Gambe / Pombe kwa muda kidogo sasa.
HahaNimeipenda hii mbinu yako ya kukusanya michango,niko kwenye gari nikishuka ntakutumia na mimi rambi rambi yangu...
Kwa msuguri haha
Ana EFD Machine?Risiti?
MhNshatuma mkuu .. Si jina lako LA m- pesa la hiyo namba ni .... Nishatuma mkuu