Jamani mwenzenu MADEA Kanikamata vibayaa!

Jamani mwenzenu MADEA Kanikamata vibayaa!

Ntiliabhose

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
78
Reaction score
38
Habari wana jf!

Mwenzenu nimekamatika na hii komedi ya kimarekani inayoitwa MADEA GOES TO JAIL.nadhan hata mara sita imefika tangu nianze kuiangalia.nikiboreka 2 namuwaziaga huyu jamaa anayejifanya bibi na maneno yake ya shomboshombo.kama kuna anayejua komed zenye viwango niambien jaman nikatafute angalau kawikend kangu kawe ka kupendeza!
 
uwe na utamaduni wa kuthamini utamaduni wa nchi yako.
punguza utumwa
 
Ok nataka nianze leo kuthamini hebu nambie komed ipi ya kibongo unayoweza kuirudia zaidi hata ya mara 1!na pengne nisiishie nusu1
 
Msikilize Baba V, zipo nyingi lakini ya King Majuto na Sharo ni kiboko, unacheka mwanzo mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Yes majuto namkubali!maskni na sharo alikuwa anakuja sana juu!tatizo wasanii we2 ubunifu ni kidogo xana!ndo maana mie komed za nje zinanibambba
 
Back
Top Bottom