Jamani mwenye tetesi za ajira za walimu za serikali atuhabarishe.

Tunatembeza kibakuri kwanza..tukipata hela za kutosha tutawaajiri..endelea kusaka pesa kitaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom