JAMANI MWENYE KUIFAHAMU MUVI HII!!!.

JAMANI MWENYE KUIFAHAMU MUVI HII!!!.

Reptilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
875
Reaction score
859
Wakuu habarini za usiku,bila kupoteza nguvu na muda kuna filamu moja hivi ya hapahapa bongo MRISHO MPOTO kacheza kama jambazi,filamu hiyo inahusu madaya ya kulevya yaliyo wekwa kwenye kiatu bahati mbaya kile kiatu kikanunuliwa mtu kwaajili ya kuendea shule watoto wake walikuwa mapacha wanaitwa kalunde,kashindye na rafikiyao anaitwa thomasi.Mwenye kuifahamu anijuze inaitwaje?? ivo tu wakuu.
 
Back
Top Bottom