Jamani muwe serious basi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanazingua mkuu
 
😹😹😹 hampendi amani, yani jina la dada yako linaharibiwa umetulia tu.!
Dada tena...
Mi dada zangu wote nawajua...

Mambo ya kulazimishana kuitana dada nao huo ni uchawi mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mashoga hawo ukilikutaniza linyandue tu maana yashakuwa mengiπŸ‘ΆπŸ§­
 
Umeanza lini kunikosea heshima??
Ngoja nimuite wizo akufunze 😹😹😹
Mmmmmh kwani weee ni momyla au ....
Jamn kama niweww nisamehe sasa unaposema umuite wizo ni kama unataka nikimbie uzi plzzzzz sirudii tena πŸ™ πŸ™ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio ukome, bora ungemuoaga wizo bichwa yote yasingekukuta
Bichwa tatizo ana lugha chafu yaan hajar upo wapi ...
Yeye akisema anasimamia habar za mtaro basi hapo siku nzima stor hizo hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bichwa ana mapepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…