Jamani Mume wangu Ananiogopa...


Maswali mazuri mno ningetamani ayajibu hayo then tujue pa kuanzia. ila umesahau namba 7.

7. Je Ulishawahi kumtegeshea 0713...? Wanaume wengine ndo mambo yao hayo.
 
Khaa! Ba'mdgo kwa ushauri mzuri, asante na nitaufanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:

Jibu maswali ya snochet lakini pia jaribu kumpa kale kamchezo ka 0713...
 
Last edited by a moderator:
Reactions: awp
Yaani mimi ni mbunifu wa kila kitu, nilijaribu akaishia kucheka tuuu, thus why nasema ananiogopa na hajiamini.
 
Yaani mimi ni mbunifu wa kila kitu, nilijaribu akaishia kucheka tuuu, thus why nasema ananiogopa na hajiamini.

mwanamke kujikubali babu weeeh, mie nahisi anajifeel inferior kwakuwa anaishi kwako.vp anakazi na kuchangia paying the bills au kilakitu waprovide weye?na kwann aje kuishi kwako?
 
Sasa unamwanikia hiyo k' wala kwanin asitishike,maana k nyingine zinatisha unaweza panda ukahisi unamezwa na mamba lol
 
Reactions: awp
Mapenzi hayana haya...ikiwa mwenzenu shughuli inamshinda kuna makosa gani dada kutafuta solution...
Siku za mwanzo lazima uwe na haya, we ukitaka kututoa hamu sie Wanaume we jiachieeeeeeeee on the first date, yan tutakukinai fastaa, ila ukileta zile haya za kike zile, utaona SHUGHULI utakayopewa, Mark my words
 
Reactions: awp
Astaghfirullah!!! mwambie aache kukenua kenua huku anaangalia nanihii lol!

Kaka jogoolakigoma nilijaribu kumsukumia huko akabaki kucheka tuu, kila ninapojaribu kumwuliza unataka nikufanyie nini hajibu anacheka tuu. nitajaribu tena leo, nipo serious!
 
Reactions: awp
Duh huku hakunifahi ngoja nirejee kwenye jukwaa la siasa.
 
Reactions: awp
Smile jamani! Hivi mfanye romance, mje muanze game hadi aje akufukishe mlima kilimanjaro, bado ni dk 20 tu? hapo si utatoka kapa best, Smile inaonekana wewe muziki wa kikubwa huuwezi
Mi kazi yangu leo ni kukusoma tu baaasi!!
 
Reactions: awp
Ok, so muda wa romance hauhesabiki! Anyway bado nadauti kama dk 20 utakuwa umefika kibo, wanaume wenyewe siku hizi wanakula chips tu, dk 3, 5 kamaliza

i mean romance ipo ila mii game nahesabu pale kuchop chop
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…