Asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. Labda kwa vile anakaa kwangu
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
khaaa sana sasa hapo mtakuwa mnafanya nini?
wewe ngapi game lako?
mi game naondoa romanceSmile jamani! Hivi mfanye romance, mje muanze game hadi aje akufukishe mlima kilimanjaro, bado ni dk 20 tu? hapo si utatoka kapa best, Smile inaonekana wewe muziki wa kikubwa huuwezi
jibu maswali yafuatayo kwanza
1.mnalingana umri?nani mkubwa? Tumepishana miezi tuu kanizidi miezi mitatu
2.mnalingana miili?nani mkubwa? Kidogo nimemzidi
3.wewe ni polisi/mwanajeshi? Hapana
4.mnatumia muda wenu kuzungumza au ni kudinyana tu? Kudinyana sio shibe muda mwingi huwa napenda kuongea naye na kupanga mambo ya familia yetu.
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
Mtoto wa Kike lazima uwe na haya, inaoneka we huna Haya/Soni, unamfanyia full ukauzu, hata mie lazima ningejiuliza mara 2 2, mtoto wa kike lazima u pretend, hata kujifanya unaumia ilhal huumiii wala nn., especially siku za mwanzoni, namhurumia huyo Mtu mzima mwenzio kwa kukutana na Gube GubeHabari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
Hahahaha! Hii kali lolAisee!
Ndoa zina majaribu!
Labda mtoto wa kike unakuwa mkavu, mimacho kodo!
Jirekebishe.
i mean romance ipo ila mii game nahesabu pale kuchop chopKama unaondoa romance, huwa anakuandaa vipi?