Abdallah Mgeleka
Member
- Sep 23, 2013
- 27
- 4
jamani wanaJF Nipo chuo Nilipenda kusoma ICT ila kuna watu wa karibu wamenishauri nisome AUTO ELECTRIC (UMEME WA MAGARI)....
Naombeni ushauri weni jamani masomo tunaanza wiki ijayo....
Naombeni ushauri weni jamani masomo tunaanza wiki ijayo....