Mwambie haousegirl hutaki tabia ya kuhamisha vitu ndani au kuleta toka kwa majirani. Hata akimwambia wewe umesema ukweli lakini wewe endelea kuwasiliana na jirani vizuri tu. Kama namna gani vipi mpeleke kwa rafiki yako mwambie ana matatizo zaidi akakae kwa muda baadae unaleta mwingine.
Inabidi utafute mtu makini ili awe nyumbani kwako, coz anaweza kulea vizuri mtoto lakini nyumba yako ikaharibiwa na kupoteza heshima ya hapo kwani kama ameanza kuhamisha bidhaa za ndani i.e. sukari, chimvi, maharage, mchele etc basi utegemee ataanza kuwakaribisha mpaka hao majirani nyumbani kwako na ndipo NYUMBA KUHARIBIKA..
mimi nimewahi kuwa na hg wa hivyo. sikutafutiwa na jirani ila kwa vile jirani (mama) hakuwa mfanyakazi kwa hiyo alikuwa close sana na hg wangu. jirani anapanga tu leo nataka kula dagaa, anagonga kwangu, anachotewa dagaa mafuta chumvi etc, anaenda kupika.
niliongea na hg lakini hakusikia, nikaona isiwe tabu, nikamrudisha kwao.
huyo jirani kama ndo kakutafutia huyo hg ujue hawataacha hiyo tabia. kama unamhitaji sana huyo hg basi kula pozi, kubali kulisha nyumba 2 kama unaweza tafuta hg mwingine, huyo mrudishe kwao
Huyo jirani kachoka anahitaji msaada ila kama baba halidhii tabia ya mama kuamia kwako wakati wa lunch mweleze tu ila huwe na evidence
hauna matatizo mengine mengine kama vivulana usivyo vijua jua nyumbani kwako?
kulisha nyumba 2 kazi maisha haya na taka kusema nae mana ni mchapa kazi nahisi kurimotiwa zaidi na huyu mke wa jirani yangu nikishindwa nabwaga manyanga
Mpe kitu kwanza atakuheshimu