drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 286
jamani cjui nifanyeje nimepata hg kupitia jirani yangu tangu aje ni 2wki ss ila imekuwa nalisha familia 2 yangu na yajirani yangu kuanzia mafuta,vyakula vingine cjui bado ila nilivyogua ni ivyo sukari, chumvi nina kisima cha maji yani anatoka mtaa wa 2 uko kuchukua maji na hofu kumsema hg kwani lazima atamwambia jirani nahofia kumwambia jirani nikiofia atanielewa or jisikia vbaya jamani nipeni ushauri nasaha nijue nifanye nn