jamani msaada kuhusu housgeli wangu

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
jamani cjui nifanyeje nimepata hg kupitia jirani yangu tangu aje ni 2wki ss ila imekuwa nalisha familia 2 yangu na yajirani yangu kuanzia mafuta,vyakula vingine cjui bado ila nilivyogua ni ivyo sukari, chumvi nina kisima cha maji yani anatoka mtaa wa 2 uko kuchukua maji na hofu kumsema hg kwani lazima atamwambia jirani nahofia kumwambia jirani nikiofia atanielewa or jisikia vbaya jamani nipeni ushauri nasaha nijue nifanye nn
 
Mwambie haousegirl hutaki tabia ya kuhamisha vitu ndani au kuleta toka kwa majirani. Hata akimwambia wewe umesema ukweli lakini wewe endelea kuwasiliana na jirani vizuri tu. Kama namna gani vipi mpeleke kwa rafiki yako mwambie ana matatizo zaidi akakae kwa muda baadae unaleta mwingine.
 
nimefikiria sana ushauri wako tatizo yy yupo om mda wote na mtt wangu narudi ucku nahofia nikimkanya atakwenda kumweleza jirani yangu acje kumshauri kumdhuru mwanangu bure ila hlo la kumpeleka kwa rafiki naona ni jema ila kupata rafiki wa kubadilishana nae now
 
Inabidi utafute mtu makini ili awe nyumbani kwako, coz anaweza kulea vizuri mtoto lakini nyumba yako ikaharibiwa na kupoteza heshima ya hapo kwani kama ameanza kuhamisha bidhaa za ndani i.e. sukari, chimvi, maharage, mchele etc basi utegemee ataanza kuwakaribisha mpaka hao majirani nyumbani kwako na ndipo NYUMBA KUHARIBIKA..
 
nikweli na huyo jirani tumeshibana lakini mke wake ndokatoka sehemu moja n huyo hg na mda mwingi wapo kwangu na watoto wake kula chakula cha mchana yan nikitoka kwenda job wao wanahamia kabisaa
 
mimi nimewahi kuwa na hg wa hivyo. sikutafutiwa na jirani ila kwa vile jirani (mama) hakuwa mfanyakazi kwa hiyo alikuwa close sana na hg wangu. jirani anapanga tu leo nataka kula dagaa, anagonga kwangu, anachotewa dagaa mafuta chumvi etc, anaenda kupika.
niliongea na hg lakini hakusikia, nikaona isiwe tabu, nikamrudisha kwao.
huyo jirani kama ndo kakutafutia huyo hg ujue hawataacha hiyo tabia. kama unamhitaji sana huyo hg basi kula pozi, kubali kulisha nyumba 2 kama unaweza tafuta hg mwingine, huyo mrudishe kwao
 
hauna matatizo mengine mengine kama vivulana usivyo vijua jua nyumbani kwako?
 
Huyo jirani kachoka anahitaji msaada ila kama baba halidhii tabia ya mama kuamia kwako wakati wa lunch mweleze tu ila huwe na evidence
 
kulisha nyumba 2 kazi maisha haya na taka kusema nae mana ni mchapa kazi nahisi kurimotiwa zaidi na huyu mke wa jirani yangu nikishindwa nabwaga manyanga
 
evidence ipo ila kuja kula si tatizo kwangu kwani ata me nikienda au nimepika kizuri au yy tunaitanaga tunakula pamoja ila ililakuchakachua bajeti yangu ya wiki kwa ck 2 vtuvimeisha na avijaibwa unanieleza vimeisha tu ndonashindwa na hg ana wiki 2 na hana mwenyeji mwingine zaidi ya huyu jirani yangu
 
hauna matatizo mengine mengine kama vivulana usivyo vijua jua nyumbani kwako?

no huyu ni mgeni kabisa ana wiki 2 tu ajazoeleka wenyeji ni hawa majirani na tupo umbali kidogo na me ckupenda azoeana na majirani walonizunguka kwaani si wazuri pia walishamsumbua hg wa awali
 
kulisha nyumba 2 kazi maisha haya na taka kusema nae mana ni mchapa kazi nahisi kurimotiwa zaidi na huyu mke wa jirani yangu nikishindwa nabwaga manyanga

kama huyo mama ndo kamleta, sahau kuwa utaweza kumrekebisha. wamama wa hivyo ni hatari sana. we jianzie tu kutafuta binti mwingine taratibu
 
thnx a lot binamu ndio kusudi langu now ckutegemea wangeanza mapema hivi jmani
 
Majirani ni watu muhimu sana ktk maisha. Wazo la kumpeleka kwingine linaweza kuwa zuri au baya kutegemea na matokeo. Na kwa vile si kila jambo unaweza kufanya trial mimi nakushauri ufanye uamuzi wa kumrudisha na kutafuta mwingine. Lessons tumekwishazipata.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom